
1,835 views
1 Jan 2026
SHISHA – King Katter (Official Video) “Shisha” ni ngoma ya sherehe, vibes za club, mtaa na enjoyment bila stress. Ni ile wimbo unaweka kwa speaker, unaongeza volume na unafanya wasee waingie mood. Cheza kwa gari, kwa nyumba, kwa club ama kwa sherehe – hii ni vibe tupu 🔥 ▶️ Usisahau: 👍 Like 💬 Comment 🔁 Share na mabeshte 🔔 Subscribe upate moto ingine Follow King Katter: Facebook: King Katter Official TikTok: @kingkatter Bookings & Enquiries: 📧 kingkatterbookings@gmail.com #Shisha #KingKatter #ShereheVibes #ClubBanger #KenyanMusic #PartyMood