
79 views
Katika mahojiano haya, Wycliff Asot Asot anatushirikisha safari yake katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Anazungumzia changamoto za kuendesha biashara, umuhimu wa kuwa na uzoefu, kuridhisha wateja, kutokata tamaa na namna mitandao ya kijamii ilivyorahisisha shughuli za kibiashara licha ya changamoto zake.