
1,730 views
12 Apr 2025
šµ YESU KRISTO ni wimbo wa kipekee wa injili ulioimbwa na Chepngetich Emmy, unaoelezea mateso na upendo wa Yesu Kristo alivyokufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. Ni wimbo wa kutafakari, wa ibada, na wa shukrani kwa neema kuu ya Mungu. This powerful gospel song reminds us of the sacrifice Jesus made on the cross and the gift of salvation we have through Him. Let your heart be moved by the message of hope, love, and redemption. š Acha ujumbe huu kutoka kwenye Biblia Takatifu uguse maisha yako. š "Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu; adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona." ā Isaya 53:5 š Tafadhali like, share, na subscribe kwa nyimbo zaidi za kiroho! #YesuKristo #ChepngetichEmmy #WimboWaInjili #GospelMusic #KenyanGospel #WorshipSong
