408 views
Umenitoa Mbali
6 Oct 2026
Wewe ni mwema, Bwana. Wewe ni mwema, Yesu. Kwa yote uliyotenda Moyo wangu wakushukuru Jana, leo na milele, kwa maana wema wako haubadiliki.