4,632 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Nov 2026
34:11
Obadiah Barongo azungumzia umaarufu wa Seneta Edwin Sifuna, akieleza kwa nini anaamini kuwa umaarufu wake miongoni mwa wananchi ni wa kweli. Je, umaarufu wa Sifuna unaakisi uungwaji mkono wa wananchi?