154 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Nov 2026
31:51
Amemba Magufuli atoa maoni yake kuhusu uongozi wa Rais William Ruto, akisema kuwa kujiuzulu ndiko kunakoweza kumwachia urithi anaoutafuta. Je, kauli hii ina maana gani katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini?