395 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Nov 2026
20:12
Obadiah Barongo aeleza kwa nini anaamini kuwa Fred Matiang’i ana uzoefu mkubwa wa uongozi ikilinganishwa na wanasiasa wengine. Je, tajriba yake serikalini inaweza kuwa na mchango gani katika uongozi wa upinzani?