122 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Nov 2026
14:05
Obadiah Barongo anaeleza kwa nini anaona Fred Matiang’i kuwa mgombea anayevutia zaidi katika siasa za sasa. Je, uzoefu na historia yake ya uongozi vinampa nafasi gani katika siasa za Kenya?