3 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 23 Nov 2026
22:51
Obidan Dela anaeleza jinsi sekta ya burudani inavyoweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, akisisitiza umuhimu wa kujitengeneza, kujipanga na kujitangaza kupitia packaging na branding. Je, siri ya mafanikio katika entertainment ni nini?