
26 views
Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 79 ya Wakenya wakianika nguo, wakiona mawingu yamekusanyika, lazima waangalie juu kwanza! Wanajaribu kutambua kama ni mawingu ya mvua au ni vitisho tu. Titi Ni Rhumba Deejay darius sixfigure Producer: Erick Kali #RhumbaRepublik