
28 views
23 Nov 2026
Chemichemi bora ya maji ya uhai Wapendeza ewe Bwana wangu Unayetawala milele na milele Ufalme wako hautakoma (Chorus) Nakutamani kwa shauku kubwa Nakutamani Yesu kaa nami Nakutamani kwa shauku kubwa Nakutamani Yesu kaa nami Kwa upole nifunze njia zako za haki Ukin'ongoza sitopotea Unitie nguvu mtu wangu wa ndani Nafsi yangu uisitiri Nijalie amani isiyoeleweka Wema wako unitangulize Na Iwe furaha kwa waaminifu wote Kwamba ndiwe hutosheleza Uaminifu wako kamwe haufananishwi Ni kizazi hadi kingine Nifanyie wema zaidi na zaidi Ya jinsi nilivyokujua #kenyangospelmusic #Benndungusongs #Chemichemisong #swahiligospel #nyimbozakristo #biblia