359 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Nov 2026
18:55
CJ Emeritus na mgombea urais David Maraga azua maswali kuhusu uaminifu wa sajili ya wapiga kura, akidai kuwa ina majina ya watu waliofariki na wapiga kura bandia. Je, IEBC inaweza kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki?