66 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Nov 2026
18:01
Wakili Kevin Sifuna anachambua jinsi uteuzi wa makamishna wa IEBC unavyoibua maswali kuhusu uhuru na uadilifu wa tume hiyo. Je, IEBC inaweza kufanya kazi kwa uhuru ikiwa mchakato wa uteuzi wake unazua wasiwasi?