20 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 24 Nov 2026
19:08
Patricia Karanja anasisitiza umuhimu wa kusoma na kuelewa nyaraka za bima (policy document) kabla ya kujiunga na mpango wowote wa bima. Fahamu masharti, manufaa na mambo muhimu ya kuzingatia ili kufanya maamuzi sahihi.