
21,067 views
21 Aug 2026
CREDITS Songwriter :Wiclief Oguta Arrangement: Enock/Lowell Track/Mix/Mastering: Dan JPRO Audio: LTM_WORLD video: Ideal Studios Signing: Dol_Signer Contact Us On Call/Whatsapp: +254727251675 Email: livetunesmedia@hmail.com LYRICS NI YESU Chorus Hautajazwa kamwe hadi uwe umetupu hautakuwa kamili hadi umevunjika. Sikujua kuwa ni Yesu ndiye killa kitu nilihitaji hadi alipobaki kuwa kila kitu nilichonacho 1. Upepo ulivuma mkubwa nao ulikuwa ni wa kutisha meli yao ilionekana mdogo mno kwenye mawimbi 2. Upepo ukivuma kwa kishindo kikubwa mtegeme mtuliza bahari kupitia matatizo ya giza anaweza kuona Bridge Wakati mwingine dhoruba unayokumbaba nayo. Huenda ikaonekana kama dunia yako imebadilika Na moto unaendelea kuwaka zaidi tulia. Mfinyanzi ajaribu chombo chako utoke dhahabu safi Yesu anajua umwamini Yesu majaribu kwako 'simwache #NI YESU #LTMMUSIC #SwahiliGospel