3,107 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 25 Nov 2026
27:07
Gordon azungumzia suala la IEBC na jinsi linavyoweza kuathiri mipango ya kundi la Linda Mwananchi kuelekea uchaguzi ujao. Je, suala hili litabadilisha mwelekeo wa kisiasa wa kundi hilo?