25 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 25 Nov 2026
12:06
Beatrice Waithera amesema kuwa takriban asilimia 60 ya mapato ya mwanamke hutumika kugharamia mahitaji ya nyumbani. Anazungumzia mchango wa wanawake katika familia, matumizi ya fedha na changamoto za kiuchumi wanazokabiliana nazo.