
6 views
Wasanii hawa wanatufungulia ukurasa wa safari yao katika tasnia ya sanaa. Wanazungumzia mwanzo wao, changamoto walizokutana nazo, mafanikio na uzoefu wao ndani ya ulimwengu wa burudani. Tazama mahojiano kamili kufahamu safari yao na mengi zaidi!