27 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 26 Nov 2026
11:37
Titus Mumia asema hatupaswi kusubiri hadi wahudumu wa afya wagome, kwani wagonjwa ndio wanaoumia zaidi huduma za afya zinapovurugika. Anatoa wito wa changamoto katika sekta ya afya kushughulikiwa kwa wakati.