
1,463,151 views
Damaris Njeri feat Florence Mureithi
4 Apr 2016
#DamarisNjeri Kuoshwa kwa Damu (Official Video) - Damaris Njeri ft Florence Mureithi Lyrics Wamwendea Yesu kwa kusafiwa Na kuoshwa kwa damu ya kondoo Je neema yake umemwagiwa Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Kuoshwa kwa damu Itutakasayo ya kondoo Ziwe safi nguo nyeupe mno Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Namwandama daima mkombozi Na kuoshwa kwa damu ya kondoo Yako kwa msulubiwa makazi Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Atakapokuja Bwana Harusi Uwe safi kwa damu ya kondoo Yafae kwenda mbinguni mavazi Yafuliwe kwa damu ya kondoo Yatupwe yaliyo na takataka Na uoshwe kwa damu ya kondoo Huoni kijito chatiririka Na uoshwe kwa damu ya kondoo