
13 views
Nyakati za kitambo, wakati ambapo watoto walikua wanaenda kucheza na kutembea nje, ilikua rahisi kujua wanafanya nini na wako na akina nani Wakati huu ambapo watoto wanashinda kwa simu, ni ngumu sana kujua wanapatana na nani kwenye simu ama anafanya nini - BISHOP HARRISON ANZAYA - Director, Big Pen Academy #mununjiro # Bukhabushiere #Mulembefm