
7,764 views
3 Jul 2018
Tazama hii video uone sababu kuu ya huyu mwimbaji kutoa huu mkanda. Kosa lake kuu ni kuwa na mtoto mlemavu ambayo imefanya yeye kutengwa na marafiki zake na hata jamii. Ukisha tizama mkanda huu, kumbuka yakwamba kazi ya Mungu haina kasoro. Barikiwa sana. Don't forget to subscribe on my channel for more videos and you can leave a comment below.