Mazishi ya Padre Alois Cheruiyot yafanyika leo kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    913 views

    Mazishi haya yanafanyika siku moja baada ya ibada ya wafu klufanyika jana mjini Eldoret ambako viongozi wa kisiasa na wale wa kidini walimlaumu waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwa kuzumbea kazini kwa kushindwa kuhakikisha usalama maeneo ya bonde la Kerio.