Mawimbi ya Corona baharini: Shughuli ya usafirishaji yaathirika, Lamu

  • | K24 Video
    Tangu virusi vya Corona kuchipuka nchini sekta kadha wa kadhwa vimeadhirika na moja wapo wa sekta hizo ni sekta ya usafiri majini kaunti ya Lamu. Wakaazi wa eneo hilo wanalilia hali duni ya biashara kwani hakuna watli wanoa zuru eneo hilo kutoka nchi za nje