Wangui ana maradhi ya mapafu na moyo: Familia yalemewa na gharama ya matibabu

  • | K24 Video
    Familia Moja katika kaunti ya Nakuru wanaomba msaada ili kuweza kumpeleka mwana wao hospitalini kupata upsauaji ili kurekebisha shida ya mapavu inayomlazimu kutumia mtungi wa oxgeni.