Nyumba isiyo makazi tena!: Watoto yatima kufurushwa washindwa kulipa kodi

  • | K24 Video
    Watoto yatima wametishiwa kufurushwa katika makaazi yao baada ya kushindwa kulipa kodi.Mwenye Nyumba hio amewapa muda wa mwezi mmoja ili kutafuta makaazi mbadala.