Kiwewe cha kura ya maoni: Gharama yazua mdahalo mkubwa

  • | K24 Video
    Wanachama wa ODM wamemkosoa mwenyekiti wa IEBC Chebukati kuhusu kauli yake kuwa shillingi billioni mbili haitatosha kufanya kura ya maamuzi.