Kulikoni Likoni? Ajali kadhaa kutokea Likoni kwa muda wa siku nne

  • | K24 Video
    Ajali zinaonekana kuongezeka katika kivuko cha Likoni jambo linalotia wasiwasi kuhusu usalama katika kivuko hicho. Leo lori la mizigo limetumbukia baharini siku mbili tu baada ya basi la watalii pia kupitia kadhia kama hiyo.