Ni afueni kwa Stephen Munyakho baada ya kurejea nyumbani

  • | K24 Video
    698 views

    Stephen Bernard Munyakho almaarufu Stivo, kabla ya kulipiwa fidia ya takriban shilingi milioni 150 hatua iliyompa fursa ya kurejea nyumbani baada ya miaka kumi na tano gerezani nchini Saudi Arabia.