
466,887 views
Trio Mio feat Shari Afrika
30 Apr 2021
Title: Vumilia Artist: Trio Mio Featured Artist: Shari Afrika AUDIO: Produced by: King Pheezle Songwriter: TJ Mario Cassella Co-writers (Hook) : Anthony O Osore; Shari Afrika Hook Melody Composed by: Anthony O Osore Creative Director: Anthony O Osore Background Voices: Allan Mruttu, Anthony Osore, Calvin Opondo, Irma Sofia, Kris Osore, Tunu Kelley VIDEO: Video Director: AntyVirus Assistant Camera: Mwende Renata Grip: Mtanashati Vikta (Royal Music Studios) Location: Film Brand Studios Stylist: BigTing AP LYRICS: --Intro-- Na na...eeh Na na na na na...eeh Na na na naaaaa... Na na na naaaaa... --Hook-- Vumilia...roho yangu... Majaribu, ni kama moto... Inayochoma...imani yangu.. Baba naomba...nsaidie... --Verse 1-- Trio leo mbele zako Mtaani brikicho na landlord Leo ametutingia padlock Rent ya kama mwezi tano Tangu ancheki kwa Mpasho na- aniskie kwa radio Jambo.. hacheki vile tuna struggle "We uliomokanga kitambo" Ninahustle, hapa jasho, kila mtu nimwone za macho Utadhani nilishinda jackpot, wasanii ni ka kuku za Sanford Utazungushwa pale display ndio wanununuzi wakukiche Wakikupenda, mafutani, uwekwe chumvi wakuminye --Bridge-- Ulinipea kipaji Niepushe na watiaji Nisikanganywe na ganji Kukapitia ni humbling Mi naifanya for the family Nieke kitu mezani God we chukua usukani ju.. Bila we mi siwezani.. --Hook-- Vumilia...roho yangu... Majaribu, ni kama moto... Inayochoma...imani yangu.. Baba naomba...nsaidie... --Verse 2-- Nabalance talanta na mbuku, inakuanga ngori nang'ang'ana Nabambanya mkwanja ya supu, kasembe angalau tusilale njaa Mi mbele nacheki dalili za taa Milele nakuanga naamini Sir Jah Ni Ye amenifikisha huku, ni Trio kwa mbulu wanatazama Maisha uwanga up and down kama moodswings ama seesaw Naja full swing kila seaseon N'ko kwa pulpit nina seek God Nina seek strength ya ku sing song zitafanya mthama asare kusakanya Nimshikie kikeja na nganya Hadi hapa ni sala za mkanya --Bridge-- Ulinipea kipaji Niepushe na watiaji Nisikanganywe na ganji Kukapitia ni humbling Mi naifanya for the family Nieke kitu mezani God we chukua usukani ju.. Bila we mi siwezani.. --Hook-- Vumilia...roho yangu... Majaribu, ni kama moto... Inayochoma...imani yangu.. Baba naomba...nsaidie... --Outro-- Vumilia...roho yangu... Majaribu, ni kama moto...