
132,801 views
23 Jun 2020
Performed by: NAIBOI Produced by Hamado On The Beat & Naiboi Additional Guitars by Isaac Mugunda BGVZ by Band Beca Video directed by Trey Juelz & Naiboi Cast by Chava Make Up by Ted For Bookings contact : thenaiboi@gmail.com +254723723734 #WatuWake, #Naiboi, Connect with Naiboi on ;- Instagram : https://www.instagram.com/thenaiboi/ Facebook : https://www.facebook.com/NaiBoi-150698498321084/ Twitter : https://twitter.com/thenaiboi?lang=en Download and stream Naiboi's Music on ;- Apple Music : https://itunes.apple.com/ke/album/usipime-mwanaume-single/1444692277 Boom play : https://www.boomplaymusic.com/share/artist/45393 Spotify : https://open.spotify.com/album/1GqFSIbFX3iYDhWd3PMfPe Mdundo : http://mdundo.com/song/1237164 Lyrics Nawatu wake Ha achi watu wake Sir jah na watu wake Ha achi watu wake Mungu na watu wake Ha achi watu wake Watu wake Ha achi watu wake Matha Fulani amekopa pesa Fulani Achangishe alishe watoto wa jirani Buda Fulani ametoka biz Fulani Na worry yake ni asi bambwe Nama Askari (Some don’t protect and serve no more) Kuna Ras Fulani amekamatwa na mume wa Fulani Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi (omollo jamach) (Oh randa inapigwa safi bro) So what is love question mark when its right there on your face So what is love question mark when its right there on your face On your face. (Iriz waririz) watu wake Ha achi watu wake Mungu na watu wake Ha achi watu wake Sir jah na watu wake Ha achi watu wake Mungu na Watu wake Ha achi watu wake Iriz waririz Iriz waririz Niga Fulani amevuka nakashamba ya Fulani Na ana kana mbele ya chi hadharini Manzi Fulani amekula fare Fulani Navile boi child amejipanga haha nyumbani (Tusidanganyane yoo) Najua kura Fulani zitapigwa na watu Fulani Oh matokeo its onesha mtu fulani (Nika hatuna say no more) So what is love question mark when its right there on your face So what is love question mark right there on your face (Iriz waririz) watu wake