
10,728 views
10 Jun 2022
"Penzi" by Lexxy Yung from The "Heart Break" EP by Lexxy Yung of Sailors 254 https://BlackMarket.lnk.to/heartbreak Lexxy Yung: Instagram: https://www.instagram.com/lexxy_yung/ Facebook: https://m.facebook.com/lexxyYung Spotify: spoti.fi/3zxOUea Twitter: https://www.twitter.com/bmrafrika Penzi by Lexxy Yung: Unapendeza vako zako ngori Sweet body umbo lake ngori Naweza apa🖐️ Pete sio ngori Me for you take a vao sio worry Naweza die take a bullet sio worry Na ukidai kunitoka mih worry Tuweeeeeeeza Bonga bonga Tu about it Aki babe nmechoka Tu kufight it All l wanna do is put it all behind me Treat you a queen babe you can trust me Naukilia babe babe hug me Juu peenzi ni kubishana Siubishana Tunatishana Ukiniacha nitakuacha Tunatishana Na Siko perfect babe mih ublanda Kuna time mih ubonga Tu kiblanda Fom za udo fom za kidanda Nipee time nitafix Tu mablanda Mboka mih na hustle tuwe fity Tutembeee ni vacation kila city Unibless na watoi Tu wapretty Keep home tuwaname Tu wazazi Ni kashiko ni kajayden na kamaggy Nawapenda kwa roho mnamwanya Sikuacha ata wakakanya #lexxyyung #sailors254 #blackmarketrecords #heartbreakEP #penzi