
188,970 views
Joefes, Seta Bam Bam, Odi wa Murang'a, Neu Alka, 16 Barz and Nairobee
31 Mar 2026
"Tuko Kadi" by Joefes, @SetaBamBam, @ODIWAMURANGA , @NeuAlka , @16-Barz & @NairoBee Stream: https://blackmarket.lnk.to/tukokadi Produced by Kagoh #blackmarketrecords #joefes #gengetone #kenyanmusic #tukokadi #nairobee #odiwamuranga #setabambam #16barz #nairobee Tuko Kadi Lyrics; Hatuwezi kuwa bila power Ni lazima tupate power Na hiyo kupata power... Ah ah ah! Black Market Records Ni Nairobee Si mshambaba seta bambam! Usiforce Eh, ingine moja bad, moja bad Mister... Mister nani? [Chorus] Go on the beat! Hey yo Mamory-o Kuna shughuli inataka mbogi Kuna shughuli inataka mbogi Kuna shughuli inataka mbogi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Kila mtu ako kadi ama yupo kadi Kama kuna mwenye anaboo itabidi amerudi nyumbani Ama akitoka draw itabidi finale Na tusishone na do-do tumishe amani Mona bomb ma-bleina toka Siaka Vile wanatupima wanatuona madanda Bila kadi utajioneblanda Bbrrr! Kang-kang bila kadi inakushanda Kuna wenye madree-ze kila mtu ako ndani Brieme na wanyime kadi songi kila mtu ako kadi Brieme! [Chorus] Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi [Verse 1] Hai! Rudi home kadi juu hakuna vyeo na uradi Dream ni kuachieve goal na naona ni kama uradi Pewa red card ndio ujue refer kwa mainadi Si ndio focus hatupendezwi ndio tupate weza wadi Ai! Hamjaanza na firimbi ishapigwa Ama mshajua tayari kwa hii game mtapigwa Itabidi mchange formation juu kila saa ni kupigwa Sinitcha kiliformation ana-end up kuchange This time kadi utachezewa poka Ati go follow the rules na tolewa itoka Hawajui the next move na wacheza kasoka Tushapangwa na ma-fools na feel... [Chorus] Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi [Verse 2] Nilichukua ID jana leo ndio nafika kwa chama Raundi inachagua leader tajalisimama vijana Wajuzi alitoa ID then akaanza kutukana Sio funny, mayouth wengi wamededi mwaka jana Sina time ya kuwaste, fika mapema usilete Kwani Morio utaniget, niko kot na confess Picha kwani hizi kura na zisipimwe na chakula Tunataka leader na mpaka mboga sio makelele [Chorus] Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi [Verse 3] Niko offset nikama mi niko kadi Hakuna ngangalu tunasub kwa kadi Hakuna daro lesi tusokye mamanzi Ni mamdaro tukicheza tu makadi Nilikuwa kadi na msupa si amemaze Na kwanza nilikuwa nimelipia mbathi Karuka fence ndio asishikwe na wazazi Sahi niko zone nashindwa nipelekwe wapi Ati tuko kadi kadi na sisi majoker Kani mrazi mrazi manze tunamtoka Kana penda brand na ni kaka maina Kana penda kuzitoka za mabailla [Chorus] Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi [Verse 4] Ah, it’s high time tuamshene kwa hiyo usingizi Buda kama hauna kadi DC we ni usimee Kama hauna kadi utaniambia unangoja nini? Huyo Farao tumemchoka mwaka itaishajini Alhamdulillah vijana wameamsha brain Farao anashangaa tumechoka kuwekwa chain Make sure story ya kadi kila kona imespread Ati hauna kadi are you out of your sense? Wahenga wanashangaa juu nguvu halina ukoko Kama unajua hauna kadi we ni kemkongo Saezi run jo, irun tu na ukoko Kadi ingekuwa food cheki mimi nataka mo’ [Outro] Hey yo Mamory-o Kuna shughuli inataka mbogi Kuna shughuli inataka mbogi Kuna shughuli inataka mbogi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi Make sure uko kadi in it, kadi. Tuko Kadi 3 Piece; https://drive.google.com/drive/folders/1embjZbkmEtjnj18W43PowQ-05077DIen?usp=sharing
Fidel Rayd, Joefes and Gody Tennor
Dj Moon, Nasibu and Joefes feat Unspoken Salaton
Boondocks Gang and Karole Kasita