
66,461 views
11 Aug 2021
#NEEMAYAKE #DADDYOWEN Jina lake la vuma la vuma Pokea baraka leo Jina lake la vuma la vuma Pokea baraka leo Jina lake la vuma la vuma Pokea baraka leo Jina lake!!! Pokea baraka leo -CHORUS- Neema yake Inatosha Inatosha Neema yake Inatosha Inatosha Kanitoa chini Kaniweka juu Kanitoa chini Kaniweka juu -VERSE 1- Kwenye shida unanitoa Weh ni Baba Ba Dakitari wa Kiroho Weh ni Baba Bado mimi nakuamini Weh ni Baba Ba Aaii umeniponya Baba Fadhili zako kipekee Na sifa milele Baraka nipokee Weh ni Baba Ba Kanitoa kwa mashida Na vita nimeshinda Kwa kweli wanipenda Weh ni Baba Ba - CHORUS - Si eti kama mi sina dhambi Mi mwenye dhambi Si eti kama mimi msafi Si eti kwamba nastahili Mie sifahi Kuokolewa ni kwa imani Najua umelia sana Sana! Kuteseka sana Sana! Mtazamie Baba Yeye anajibu x2 -CHORUS- Nipe moja! Nipe mbili! Nipe tano!! X2 -CHORUS- Written by: Jerry Ogallo Black_Alphajiri Owen Mwatia Demas Animation by: Washington
Daddy Owen feat Adanje