
80,442 views
15 Feb 2015
#Imani #JemmimahThiongo Song: IMANI Album: IMANI Song Writer: JEMMIMAH THIONGO Composer: JEMMIMAH THIONGO Audio: ROBERT 'R-KAY' KAMANZI Video: MARAMOJA FILMS/PROVIDENCE FILMS Director: ROBERT 'R-KAY'KAMANZI Executive Producer: JEMMIMAH THIONGO CONTACT INFO: Email: jemmimaht@gmail.com Facebook: https://www.facebook.com/JemmimahThiongoOfficial/ Instagram: https://instagram.com/jemmimahthiongo?igshid=16g40g9vzfs67 LYRICS Chorus Imani, Imani, Imani ni cheti changu cha kupata yote Imani, Imani, Imani ni cheti changu cha kupata yote x2 Verse 1 Asante eeh Mungu wangu ninakushukuru Kwa maana umenipa neema ya imani Japo mi huonekana ni kama mjinga Ninapo waambia wengi ninayo imani Verse 2 Usije kajiuliza imani ni nini Ni kutarajia mambo yasowezekana Wengi kanivunja moyo hayawezekani Kupitia kwa imani Baba katimiza Verse 3 Wengi watakucheka hata wakusimange Kama Peninah alivyomsimanga Hannah Muigize Hannah usilie bila imani Mungu ni mwaminifu 'takupa uombacho Verse 4 Mungu atakuheshimu kwa imani yako Maana wenye imani ni wanyenyekevu Alimuheshimu Ibrahimu kwa imani Chochote unacho omba atakitimiza Verse 5 Hiyo imani, hiyo imani Wee huna mwana, wee zidisha imani Ndoa yaishia, inaporomoka, zidisha imani Mungu ataisimamisha, hiyo imani