
206,552 views
12 May 2021
SMS “skiza 6390564 to 811” to get Wahi Wahi as your Skiza Tune Download and Stream Worldwide https://album.link/m05jtxwjcm304 Intro Yeees man, see mi a seh , hhmm na nicah the Queen Verse 1 Umeniwahiwahi mama, Kama mwizi kwa mikono ya raia. Umeniwahiwahi mama, Kama mlevi amelemewa na bia. Umeniwahiwahi mama, zawadi Mungu amenitunukia. Gyal you got mi whole heart it’s time fi settle down now. Pre chorus Nataka pete pete nikuvishe Na vitenge tenge tufananishe Tuwatese tese tuwa-feelishe Waone gere gere gere Chorus Umeni wahi wahi mama Umeni wahi wahi maaaa x 4 Verse 2 Ooh I know I know, you wanna be with me tena wanidhamini. And I know I know si rahisi, ila nitajitahidi. Pre chorus Nakubali pete pete univishe Na vitenge tenge tufananishe Tuwatese tese tuwa-feelishe Waone gere gere gere. Chorus Umeni wahi wahi mama Umeni wahi wahi maaaa x 4 Bridge Babe you you you Babe you Babe you you you umeni wahiii Babe you you you( Kama mwizi kwa mikono ya raia) Babe you ( Kama mlevi amelemewa na bia) Babe you you you umeni wahiii Chorus Umeni wahi wahi mama Umeni wahi wahi maaaa x 4 Nimeku wahi wahi sana Nimeku wahi wahi sana Nimekuwaaaahi wahii