
77,727 views
23 Jul 2018
Send 'Skiza 8543807' to 811 (Safaricom) JUA CALI - NAJITOA #Najitoa, Fifth single of the upcoming album 'MALI YA UMMA' Audio By Benjah Beats (Calif Records) Directed By Thomeski Art/Animation By Wambaa Muiru LYRICS: Intro : Najitoa *8 VERSE 1 Naenda mahali kuna raha mstarehe Naenda mahali kila siku ni sherehe Nitulie nisahau shida za dunia Nitulie nifanye kitu yoyote najiskia Hapa nimetupa stress zangu mbali Ni upendo tu na unaspread kila mahali Mtu wangu akiwa chini namshikisha Mtu wangu akilia lia namtuliza Juzi ilikua noma lakini sai tunaskizana Mambo ya chuki vita hapan taka Mahali nimetoka kila kitu bei ya juu Lakini hapa kila kitu bei nafuu Uwizi hakuna natembea bila wasiwasi Keja nayo kila siku mlango wazi Unangoja nini kuja huku tubambishe Mtu wangu kuja huku tushikishe.. CHORUS : Najitoa *8 VERSE 2 Mambo ya traffic jam hakuna hapa Camel ama Donkey ndio gari za hapa Panda moja nikuonyeshe hii mtaa Ya kipeke mahali usiku hakuna kulala Napiga soda yangu baridi nikipepea Halafu baadaye niingie beach kuogelea Me niko mteja hakuna network huku Watu tafash pia hawako huku Wiki moja mbili zinapita Ata ukiniuliza me sijui vile ziliisha Nirudi mtaani hapana!!! Nirudi mjini hapana!!! Ukitaka kunipata mwenyewe kuja huku Mpaka mwaka mpya tunairukia huku Ma Festivals na fireworks ndio zetu Tunakula raha unaeza fkiria huku ni kwetu CHORUS : Najitoa *8 VERSE 3 Usiku ikifika usipende kuona Hii ndio time mashetani wote wautoka Warembo wengi nashindwa nichague nani Nyuki hapa nitawapatia wote asali Itisha kitu yoyote me nitalipia Hapa ni holiday kila siku me nakuambia Ona vile hio sunset mambo mbaya Strolling ya jioni hapa iko sawa Hewa ya huku jo ni tofauti Chakula ya huku inataste tofauti Makarau nao hawana noma Ukifanya blunder bigi ni rahisi kujitoa Watu ni wa pole kila mtu yukona furaha Mnasalimiana ata ka hamjuani Kuingia harusi kutoka matanga Ningeishi hapa lakini narudi mtaani CHORUS : Najitoa *16 #JuaCali
Jua Cali and VDJ Jones feat Jeshi Jinga