
1,470 views
28 Jul 2024
Song : NI SISI Artist : KENRAZY Prod : DYNMELOW Dir : NOID2050 EP : A DIFFERENT WORLD Mhmm! Our Intentions are pure, My Lord, Hii ni disease disease and we need a cure, Ahmm! Ni KenRazy, Gjyeah, Ahmm! Hii vita tutapiga ki-Sarafina, Mbona nijifanye kama sina, Mbona ninyamaze kama mjinga, Mnataka niji-X kwa hii world kama twitter, Ati tuko na Gover have you seen her? Mimi nashindwa "obola sina", Eric Omondi alishawamulika Gen Z wakawasha for this I'll die kama Jesus, Kidogo unapata kidogo ina-go, Hii kitu iko design tuna-starve na wana-know, Taxation just oh my God, Bei za bidha zimeongezeka mpaka salt, Ngware, wasee wamemurdwa Kware, Sare, wee si uliskia Faram Maalim, Kwani, tunaishi Kenya gani, Burndem, ilibidi tuandamane, Ni sisi, Ni sisi, Ni Nani Kama Sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, We unangoja nani akubadilishie System? Ni sisi, Ni sisi, Ni Nani Kama Sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, We unangoja nani akubadilishie System? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Kila kukicha, tunatoka kutafta doe, Dawa za tiba, kwa hizi hospitals haziko, Vijana mitaa, wanamurdwanga na macops, Wasee wanalost tunapatana na ma-corpse, Kimoyomoyo makarao pia washachoka, We hujachoka kuchoka, Kuchoka mi nilishachoka, Lakini sitachoka kutoka, Wacha nikushow kile inafanya wanachoka, No leader hatukuambiwa na Baba, No lugha, hakuna cha mjaka, One Kenya ni change tunataka, Faster, rada jo ni chafu leta duster, Wanataka kutumaliza kwanini? Amini ya weka mkono moja Kanini, Siezi hata chapa hiyo nini vifiti, Nafikiria tax then na-resist, Ni sisi, Ni sisi, Ni Nani Kama Sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, We unangoja nani akubadilishie System? Ni sisi, Ni sisi, Ni Nani Kama Sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, We unangoja nani akubadilishie System? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Ni sisi, Ni sisi, Ni sisi, Ni nani kama sio Sisi? Gjyeah, Change inaanza na wewe manze, Let's keep the conversation alive, Najua si kwa ubaya lakini saingine si huwanga na tendency ya kusahau haraka, Gjyeah, ONE LOVE KENYA, RIP to all the soldiers wenye tuliloose, Book KenRazy Contact: +254112405225 bookkenrazy@gmail.com #KenRazy #NiSisi #AdifferentWorld