This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

2 Dec 2021
"SON OF GOD" is KenRazy's 2nd ALBUM. For Bookings : Contact - 0112 405225 Email - bookkenrazy@gmail.com Prod: DynMelow Dir: Davie FX Hehehe, Mnanijuaaa, Mnaniskianga tu??? Mhh! Niko roho juu kaa warasta, Flow dirty bro leta duster, Huezi pata mi niki-force line utanipata home na wakidi niki-pass time, Kwai Chang Caine Razy master, Even if I die Razy Casper, Vile nina rhymez Razy Busta, Best lyricist pea Razy crown faster, All about the mullah all about the cheddar, Wee unabonga mob mi nabonga hela, Barz barz jela na-rock fellaz beat killer badman dope dealer, Na make it rain heavy no rasha rasha, Studio lazima kuna kitu nawasha, Mpango ni kufanya watu wajiwachilie sio wasee kujificha sura kama Frasha, Siezi fall asleep na ni crunch time, Nataka niwe na food saa ya lunch time, Mziki ndio the main bado part time usiniulize what else I do mi ni rapper, [mgani?] Commercial na bado gangster, Naeza kill show na band kama Just-A, Ngoja uone vile hii ngoma itatamba, Wacha nakushow kile Unafaa kudu, [Chorus]: Ikikubamba eeeeh – ah! Ikikubamba eeeeh gjyeah! Rhaa! Kila mtu chini, chini kwa chini, Kila mtu chini, oyayaya eeeeh! Kila mtu chini, chini kwa chini, Kila mtu chini, oyayaya! Twerk on tha D* vibrate hiyo ass ma’, Nacheki pande zote mbili ka Mahatma, Mi nadu kenye nataka kudu, na-break rules juu bado mi ndio judge wa mahakma, Niko Fly wee bado lava huna pupa, Niko High wee bado sober huna chupa, Ma-rapper fake nikirudi wanagwaya, studio mkutano wanavutiana wire, Wakitoa Mziki lazima kiki, mi nikitoa inahit Mziki ndio kiki, Kila wiki na-treat mashabiki, Faraja inakam usijam saa ya dhiki, Niko on point kama compas, Fresher kila year kama campus, Sina pressure kizee kuna puncture, TZ wanasema “dah, ule dogo mbaya”, Walidhani mi nta-fail ona sasa, wanataka kuwa mabeshte juu natamba, Ngoja, come to think of it kwanza, mi ndio niliwajenga washasahau hata, Shukran God kwa hizi miaka, zote kwenye game daily hits nikiwapa, Na msupa fierce kama Sasha, Skiza kuna kitu mi nataka ufanye…. [Chorus] Hahaaa, Walidhani mi nta-fail ona sasa, oyayaya eeeeh! TZ wanasema “dah, ule dogo mbaya”, oyayayaya! Niko roho juu kaa warasta, oyayaya eeeeh! Ni KenRazy, haa! oyayayaya! Kila mtu chini, chini kwa chini, Kila mtu chini, oyayaya eeeeh! Kila mtu chini, chini kwa chini, Kila mtu chini, oyayaya! Follow KenRazy : https://www.instagram.com/kenrazykenya/ https://twitter.com/KenrazyKenya https://www.facebook.com/Kenrazy.Kenya/ #KenRazy #Kenya #KenyanMusic