
21,515 views
13 Feb 2024
Official Music Video of Gospel Song ni Kwa Muda By Benachi. Title: Ni Kwa Muda Meaning It's for a Short Period. The Challenges we Pass through are Temporary and We will Overcome. Lyrics of "Ni Kwa Muda": Nainua macho yangu nimtazame Nani Msaada Kama si kwako utatoka wapi Wazijua machozi yangu na maombi yangu Nikiomba natumaini unanisikia Na desire I desire in my heart unifufill Kama Ulivyoniahidi,nimechoka kua chini Jionyeshe na mimi Nimefika pembeni lakini bado natumiani Nina imani ya kwamba uko nami Ninangoja unijibu kwa muda wako Nina kosa uvumilivu Mimi mwanao Ninagoja unijibu kwa muda wako Ninakosa sana uvumilivu Mimi mwanao Ni kwa muda tu Ni kwa Muda tu Nitapata majibiu x2 Ni kwa muda tu Ni kwa Muda tu Nitapata majibu Ninakupa mahitaji yangu na shida zangu Yale moyo inatarajia Ushuhuda nataka nami nishihudie Yale utanitendea Kwa Macho bado sijaona,kwa sikio sijasikia Uliyonioangia Ila najitaribia Kwa Macho bado sijaona,kwa sikio sijasikia Uliyonioangia Ila najitaribia Ninangoja unijibu kwa muda wako Nina kosa uvumilivu Mimi mwanao Ninagoja unijibu kwa muda wako Ninakosa sana uvumilivu Mimi mwanao Ni kwa muda tu Ni kwa Muda tu Nitapata majibiu x2 Ni kwa muda tu Ni kwa Muda tu #Benachi #Muda #Music