
29,393 views
19 Jun 2020
#NyotaNdogo #Nakushuku #Ngomma Lyrics Written and Performed by: Nyota Ndogo (@Nyota Ndogo) Music Produced by: TeeHits Video Directed by: G Law Follow Nyota Ndogo on Socials: https://www.instagram.com/nyota_ndogo https://www.facebook.com/NYOTANDOGO https://www.twitter.com/nyotandogo Lyrics: Eti juzi juzi, ulinambia unakuja, wala haukufika kwangu Eti juzi juzi, ulinambia unakuja, wala haukufika kwangu Kila nikipiga wewe waja, Wewe waja wala hufiki.... Kila nikipiga, we waja we waja, Wewe waja wala hufiki. Juzi nilikuona, Nilikuona, Kwenye Gari lako....mmmhh Ukageuza kichwa, ukageuza kichwa ukanitazama ukaangalia kando, Ile simu, ile simuuu, niliyopiga haukuipokea Ile simu, ile simuuu, iliniuma sana aaaaah Baby Nakushuku wewe, Nakushuku wewe ×4 Nimesikia mwanaume akipendwa, hujilegeza, hutaka bembelezwa, yote nimefanya..... Nimesikia mwanaume akipendwa, hujidekeza, hutaka bembelezwa, yote nimefanya... Ila unaniumiza nafsi, Moyo Unalalama aah, Usiku nakuwaza.. Ila unaniumiza nafsi, Moyo Unalalama aah, Kwa kuwa Nakupenda. Kama kuna mwenzangu, Mwambie namuita, aje tuelewane, Sina shida ya we kuwa na wawili Kama kuna mwenzangu, Mi sina shida aaaah, Muje tuelewane, Kuliko kufichaficha aaah Baby Nakushuku wewe, Nakushuku wewe ×4