
1,561 views
Mordecai Dex and Skoko
27 Jun 2025
This one is for anyone who knows that they were never born to be Ordinary 👽 EXTRA ORDINARY LYRICS African man standing tall like a pillar Man Ah fly like a butterfly from caterpillar Man Ah real bad man big mic killer Step inna di place mpaka wanauliza who dat? Work so hard ni lazima tutakula Na wakienda kombo man ah straight like a ruler African Kings but you already knew dat Na ukiwa na swali you can ask my ndula Nakumbuka zile siku pale Nyamavilla Can’t forget the hustle tukipiga Nyamakima Napiga chenga ka Kadenge na mpira Hii kitu haitakangi hasira Man ah Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Man Ah Dextah Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Rambo kanambo Utanipata baze mi bila kamambo Na imekuanga hivyo toka kitambo Enzi za wahenga na mambiu za mgambo Na zikilia basi si unajua kuna jambo Asubuhi nawasalimia hamjambo Kwa heshima mnanijibu hatujambo Mkikosa nawakatakata kama Rambo Kama Rambo ama pia ile mango Yenye imeiva Nazima stima nawasare mko kwenye giza Tumbo zinafura kama dem ako na mimba I’m on another level ni akili tu napima Chimba mi nachimba mpaka ndani ya kisima Mi mkali kama simba na maringo huwa sina Nawapikia mboga na nawapatia sima Sim simmer who’s got the keys to my beamer Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Man Ah Dextah Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary For your love baby me nitasimp Niko extra kwanza na tripple X Step inna di party looku fresh and clean Nanukia fresh ah What you mean Kando yangu ni waresh Usinitry huniwes Niko extra never ordinary Baby girl you chillin with the best Hata kukiwa na njeve tunadunga vest Eh nobody can test eh Say my name S K O K O Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary Man Ah Dextah Ordinary Extra Extra Ordinary Extra Ordinary Extra Extra Ordinary CREDITS Executive Producer ; ALAMUZIKI ENTERPRISES Written & Performed By ; Mordecai Dex & Skoko Music ; Rixx & Mordecai Dex Guitars ; Matt Owegi Mix & Master ; Shitsu Special Thanks ; Ivan Odie, Cy Baru (Callivan Creatives)