
4,349 views
Jimwat, J-Blue and Wambo Kenya
5 Mar 2022
Producer (audio): Kdawg & (video): Junior G × Rocky C Studio: Truce Label Facebook; https://www.facebook.com/jimwatfanpage/ Instagram; https://www.instagram.com/jimwatgenge/ TikTok; https://www.tiktok.com/@jimwatgenge X/Twitter; https://x.com/jimwatgenge Jimwat is a well-known genge artist with a touch of edutainment themed music who has been working with new era genge artist J-Blue after helping introduce him in the music game with their debut collaboration 'Legacy'. 'One Love' is their follow-up collaborative work that advocates for peace during this election period and also promotes the message of peaceful elections in 2022 Kenyan elections and future uniting all tribes & communities to continue living together in peace, love & harmony remembering life continues after elections. #Jimwat #OneLove #Elections2022 The song style incorporates the genge vibe, conscious message with a touch of new-era beat-style instrumentation by veteran producer Kdawg recorded & video shot at Truce Label which is home to both artists. Song Lyrics: (intro); One tribe J-Blue, Wambo, Jimweezy (Verse-1); Tuna bidii kwa ground, shinda politicians wa' round Kafupi, nono, round; on tax-payers account 2022 campaign, watulambishe thao-thao Alaf' for tha next 5-years watuache ubao-ubao Tushawasoma tuko rada futa ubao mwalimu Politricks za 'trick or treat'; divide & rule (Zii)Kabila si' 47/ Kabila ni 'hell or heaven' Heaven on earth for the rich, ya Above the meek will inherit But til' then tujitoe hell ya sufferation, mass-population Sick no medicine only free medication 'rona vaccination Tushawaonea '18/ Last time tulikua ma'under-18' Round hii si' mchezo, tunawa'kansoul' vi' deadly Tunawapiga na peace, reversed psychology Hatuwapigi kwa streets, tuzidi ka' majirani Politicians ni wa' ku'come; wakitugawanya-wana'go HatuVote ki'mala-mala, tuna'vote for peace, love & hope (Chorus); 2022 ni One Love, hakuna violence Ni One Love, hakuna violence This year ni One Love, hakuna violence Ni One Love hakuna violence 2022 ni One Love, hakuna violence One Love, hakuna violence This year ni One Love, hakuna violence One Love, hakuna violence (Verse-2); Politicians this year itakuwa hard kutuchezea 5-years kwa hio seat na daily mnatuchorea Hakuna kuku'vote back pesa zetu zinapotea Huku kwa ground, kura zetu ndo' mnategemea Maskini analala njaa wee' bado una'make ma'shillings Sio kumtreat vile inafaa, mwishowe unaleta feelings We're ready for change hakuna kuhongwa na mia-mia Hatutaki hizo ma' mia-mia Uchaguzi tuna make the right-choice, hakuna fear Wale watiaji this year watakaskia Vaco za kijinga hapa tunakanyangia Yeah, hapa tunakanyangia Mathare, Kibera na Eastleigh hakuna violence, Round hii hakuna violence Nakuru, Kisumu na e.t.c hakuna violence, Round hii tumekataa juu (Chorus); 2022 ni One Love, hakuna violence Ni One Love, hakuna violence This year ni One Love, hakuna violence Ni One Love hakuna violence 2022 ni One Love, hakuna violence One Love, hakuna violence This year ni One Love, hakuna violence One Love, hakuna violence (Bridge); Kenya, Kenya, Kenya taifa-letu Kenya, Kenya, Kenya nchi-yetu Kenya, Kenya, Kenya taifa-letu Kenya, Kenya, Kenya nchi-yetu
J-Blue feat smith bandy and Raudy