
2,278 views
28 Aug 2020
Natazama Juu is an inspirational swahili gospel song. It points us to look up to Christ despite our circumstances. Audio and Video- G-law Music Pen and Paper- Meisi Tamar Lyrics: Dunia nzima ina giza, ila mwenzenu sijalala, Nahesabu pesa sina, Najenga mansions kwa hewa, Naogopa funga macho, zitanidhohofisha ndoto, Hakuna anayenielewa, Hakuna, hakuna anayeniona, (Bridge) So, napiga magoti, nakuita wewe unayeniona mpaka ndani, mbele yako sina siri, nimekaza kukutegemea wewe kila time (Chorus) Natazama juu aliko Bwana Yesu, Msaada wangu wa karibu ngome imara, Hata shida inyeshe kwangu kama mvua, macho yangu, nimekaza kwako 2.Nimetazama kwa milima, vyote vilivyoinuliwa aa sikupata msaada, mwenyewe nilijikwaza aa Asante sana kwa nehema, ni kama maji kwa jangwa, umenijaza, jaza raha, raha na uzima oooh, (Bridge) So, napiga magoti, nakuita wewe unayeniona mpaka ndani, mbele yako sina siri, nimekaza kukutegemea wewe kila time (Chorus) Natazama juu aliko Bwana Yesu, Msaada wangu wa karibu ngome imara, Hata shida inyeshe kwangu kama mvua, macho yangu, nimekaza kwako