11,835 views
Gidi na Ghost Asubuhi on Radio Jambo
Aired 17 Nov 2016
15:50
Mara kwa mara, binadamu hukimbilia njia tofauti kutafuta amani, furaha na pia usaidizi lakini ni huzuni sana wakti mwingine mmoja au wawili hupitia njia isiyofaa na kujitoa uhai ili kukimbilia shida zinazo waandama.