
339 views
Katika siasa heshima huekwa chini ya zulia awe Rais wa nchi au kiongozi wa upinzani matamshi yao hayana nguo wa pazia. Katika Mambo jambo juma hili Davis Ojiambo akueleza vile wengine ni wazimu na wengine wamesalia katika siasa za babu zetu.