
3,882 views
Katika kisa kingine cha kipekee cha Patanisho, jamaa kwa jina Martin alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Susan huku akidai kuwa alitoroka nyumbani na kumwachia wanao katika pilkapilka hizo. Martin alidai kuwa masaibu yao yote yalianza baada ya biashara yao kufilisika huku akiongeza kuwa mkewe alitorokea ufukara na kumwacchia majukumu yote ya uzazi wa wanao wadogo.