
3,371 views
Hapo Jana, bwana Sadik aliwashangaza wengi alipoomba apatanishwe na nduguye bwana Okwalo huku akikiri kuwa wawili hao walikosana, baada ya Sadik kumkashifu kuwa na uhusiano na mkewe kila wakati alipokuwa kazini Kisumu. Kulingana na bwana huyu, alimvamia nduguye baada ya kupashwa habari na majirani wake ambao walimuarifu kuwa bwana OKwalo alikuwa na uhusiano usiokuwa wa kawaida na mkewe.