
9,407 views
Hapo jana bwana Anthony aliomba apatanishwe na mkewe Nancy ambaye walikosna takriban mwaka mmoja mmoja uliopita. Naam mwaka mmoja. Kulingana na Anthony, alikuwa na mpango wa kando jambo ambalo lilipelekea wawili hao kutengana na isitoshe, bwana huyu alipata mtoto na mwanamke huyo. Kituko kilizuka wakti bwana huyu alifichua kuwa alikuwa na mipango ya kufanya harusi mwezi wa Disemba lakini mamake mzazi hampendi mwanadada huyo aliyewatenganisha Anthony na Lucy, kisa na maana ni mvivu na asiyeshughulikia mumewe.