
1,794 views
Katika makala ya patanisho, kisa kimoja kilizuka wakti Evans alipo omba apatanishwe na babake bwaba, Patrick ambaye walikuwa wamekosana kwa mda wa mwezi mmoja. Kisa na maana; Evans alimkasirikia babake na kumtusi kupitia ukurusa wa Facebook. Kulingana na Evans, haya yote yalisababishwa na mzee "Kuingilia ndoa yake" jambo ambalo halikumfurahisha. Alishangaza wengi alipokiri kuwa aliwahi kunywa sumu ili ajitoe uhai na babake hakumsaidia licha ya shida aliokuwa nazo za kindoa na pia za kimwili.